Yanga yawasili Dar baada ya kichapo kutoka kwa URA

0
76

Wachezaji na viongozi wa klabu ya Yanga wamewasili Dar es Salaam leo kutoka Mjinni Unguja, Zanzibar baada ya kufungwa na URA.

Yanga jana imendoshwa kwenye Michuano ya Mapinduzi Cup na Klabu ya URA ya Uganda katika nusu fainali ya kwanza.

Yanga ambayo jana ilicheza mchezo wa Nusu Fainali na URA huku ikiondolewa kwa njia ya mikwaju ya penati 5-4, baada ya Obrey Chirwa kukosa penati ya mwisho.

Azam na URA watacheza fainali ya kombe hilo keshokutwa katika Uwanja wa Amani Zanzibar.

 

LEAVE A REPLY