Wolper alikumbuka penzi la Alikiba

0
880

Muigizaji wa Bongo Movie,  Jacqueline Wolper amesema kuwa katika mahusiano yake ya kimapenzi aliyowahi kuyapitia hapo awali hawezi kumsahau Alikiba.

Katika mahusiano kuna mtu mmoja ambae utaona kuwa anaweza kuwa bora kuliko wote au m hata kama utapata anaekupedna sana lakini bado inawezekana huwezi kumsahau mtu fulani amabe alikufanya kuwa na amani katika mahusiano yak, na hii uweza kutokea kwa kila mtu.

Wolper amesema kuwa Alikiba ndi mwanaume aliyewahi kuwa nae katika mapezni na anaedelea kumkumbuka mpaka sasa” katika mahusiano yangu yote niliyowahi kuwa nayo alikiba ndio alikuwa the best kuliko wote”.

Kauli hii sio mara ya kwanza kwa abaadhi ya wanawake waliowahi kutoka kimapenzi na Alikiba, hata Gigy moey hapo nyuma aliwahi kusema kuwa Alikiba ni mwanaume aliyewahi kuwa nae katika mahusiano na amekuwa akimuona kama ndio the best of all men aliyowahi kuwa nao.

LEAVE A REPLY