Wolper afunguka kuhusu ndoa

0
302

Muigizaji wa Bongo movie Jacqueline Wolper ameibuka na kuweka wazi kuwa suala la ndoa halina kipaumbele sana Kwenye maisha yake.

Wolper ameshawahi kulalamika sana kuhusu suala la kuumizwa na mapenzi na kudai kila mwanaume ambaye ameshawahi kuwa naye Kwenye Mahusiano ameishia kumuumiza na kumtenda:

Wolper amefunguka kuwa akiwa Kwenye Mahusiano kwa sasa ndoa haina kipaumbele kwani ameshatendwa sana kimapenzi.

Wolper amewahi kukiri kuwa Harmonize ni moja kati ya wanaume ambaye amewahi kumuumiza sana kwani alimuacha na kuamua kuwa na mwanamke mwingine kwa ajili ya pesa wakati yeye alimuacha mwanaume wake ambaye alikuwa na pesa sana kwa ajili yake.

LEAVE A REPLY