Wimbo wa Jux wamgusa mwanamuziki wa Marekani

0
46

Wimbo mpya wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Jux uitwao ‘Mapepe’ umemfikia nyota wa muziki kutokea nchini Marekani, Megan The Stallion.

Wimbo huo ulimfikia Megan na alionesha kuufurahia baada ya kuonekana akiwa live na marafiki zake kwenye ukurasa wake wa Instagram wakiusikiliza.

Hata hivyo Jux alimtumia salamu za heri ya za tarehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa nyota huyo na kumshukuru kwa kuupa sikio muziki wake.

Hata hivyo, Megan mzaliwa Februari 15 amesherehekea tarehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa ambapo ametimiza umri wa miaka 26.

LEAVE A REPLY