Whozu asaini mkataba na kampuni ya China

0
278

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Whozu amesaini mkataba na kampuni ya entertainment iitwayo Too Much Money yenye ofisi zake jijini Guangzhou nchini China.

Na mkataba huo unahusisha Kusimamia kazi za Muziki, vichekesho pamoja na biashara ambazo zitahusisha jina la msanii huyo.

Mkataba huo ambao kwa mujibu wake amelipwa Dola za kimarekani 30,000 kama Deposit ambazo ni zaidi ya Millioni 60 za kibongo

Pia, akiwa nchini China Whozu amefanya kazi mbalimbali ikiwa kurekodi nyimbo kadhaa na maproducer wa China wenye asili ya Nigeria pamoja na kufanya video tatu nchini nchini humo.

LEAVE A REPLY