Wema Sepetu na Faraja Kota watuma salamu za pongezi kwa miss TZ 2016

0
604

Miss Tanzania mwaka 2016, Diana Edward ameendelea kuwa miss Tanzania mwenye bahati zaidi nchini baad aya kuendelea kupokea ujumbe wa pongezi kutoka kwa waliomtangulia.

Kwenye orodha ya waliompongeza yupo Faraja Kota Nyalandu na miss Tanzania mwaka 2016, Wema Sepetu.

Wema Sepetu ameieleza furaha yake kwa maneno haya:

When You Nailed that question Properly, I knew that The Crown was Yours…. Congratulations mdogo wangu… You deserve it… And I have a very good feeling about Your performance in the Miss World Beauty Pageant…. You will do Tanzania Proud… @dianaflave @dianaflave @dianaflave @dianaflave … #GoodMorningWorld

Mshindi huyo wa taji la miss Tanzania 2016 alikuwa mshindi wa miss Kinondoni.

LEAVE A REPLY