Wema Sepetu ampongeza Ommy Dimpoz

3
942

Muigizaji wa Bongo movie, Wema Sepetu amempongeza mwanamuziki Ommy Dimpoz kwa kile alichokifanya baada ya kujibu tuhuma za Diamond Platnumz.

Wema amemsifia mwanamuziki huyo kwa kusema kuwa ni mpole sana kutokana na kauli yake kwenye meujiano yalifanyika katika kipindi cha XXL cha Clouds FM kilichofanyika jana.

Kupitia mtandao wa Instagram, Wema ameandika.

Busara, Upole, Hekma… Thats wat u r made of… Im very very Proud and Impressed kwakweli… Mnyonge mnyongeni haki yaki mpeni… Sasa sio mje muanze kusema sijui napick sides… Nooooo…!!! Sina side maana na mimi pia ni outsider tu… But kwa leo nimependa ulichofanya Ommy…. Forever Bae… Sometimes being the bigger person doesnt hurt… @ommydimpoz.

Ommy Dimpoz kwa sasa hana mahusiano mazuri na Diamond baada ya kurushiana maneno makali kupitia mitandao ya kijamii huku kila mmoja akimtuhumu mwenzake kuwa ndiyo chanzo.

3 COMMENTS

  1. Kwa nini wasanii tusiache bifu tuishi kwa aman na upendo? Inasikitisha kusikia wasanii ambao ni kioo cha watanzania kila siku kuwa tunarushiana maneno makali kiasi hicho kwenye mitandao ya kijamii kwa kweli haipendezi kwa bifu za kitoto kama hizo ambazo hazina kichwa wala miguu .Acheni kuizalilisha sanaa ya Tanzania.

LEAVE A REPLY