Wema Sepetu afurahia biashara yake ya duka

0
121

Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu amefunguka na kuweka wazi kuwa hakuna kazi anafurahia kama kuzaa nguo kwenye duka lake jipya.

Baada ya Kupitia kipindi kigumu mwishoni mwa mwaka huu hatimaye Wema ameweza kupata tena furaha Baada ya kufungua biashara yake mpya na kuelekeza nguvu zake kwenye kazi.

Wema Sepetu alisema kuwa Hivi sasa anaanza kuona utamu wa biashara hiyo ndiyo maana sasa hivi hapati usingizi kama zamani.

Amesema kuwa Biashara ni tamu kinoma ukiweza kuipatia. Kufanya biashara ambayo unaipenda ni jambo la msingi sana. Nafurahia kazi yangu hii, kuna vitu nimejifunza pia,”

Wema ambaye anamiliki duka hilo la nguo alilolipa jina la Little Sweetheart lililopo Mwananyamala, Koma-Koma jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY