Wema adai kukaa miezi sita bila kufanya mapenzi

0
156

Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu amefunguka na kuweka wazi kuwa hajafanya mapenzi kwa muda miezi Sita sasa tangu amalize mahusiano yake ya mwisho.

Mahusiano ya mwisho ya Wema yalikuwa na kijana anayejulikana Kama PK lakini mahusiano hayo yaliishia vibaya na kusababisha Wema kuwa na kesi mahakamani.

Pamoja na kesi kuendelea Lakini Wema Hivi sasa anaendelea vizuri na ameweka wazi kuwa hana Mpenzi na tangu sakata lake na PK yeye yupo single hana Mpenzi.

Hivi karibuni katika Tuzo za Sinema Zetu International Film Festival (SZIFF) alifanya mahojiano na vyombo vya habari na kujibu maswali mbalimbali kama ifuatavyo.

LEAVE A REPLY