WCB ndani ya Burundi Septemba 24

1
728

Wanamuziki kutoka rekodi lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) wanatarajia kufanya show nchini Burundi siku ya tarehe 24 Septemba mwaka huu.

Kupitia ukurasa wake wa Intagram mmoja wa wananamuziki kutoka lebo hiyo Raymond ‘Rayvanny’ amesema kuwa watafanya show nchini humo ifikapo Septemba 24.

Show hiyo inatarajia kufanyika katika ukumbi wa Ecole Independente nchini Burundi ambapo kiingilio cha juu kitakuwa shilinigi 10,000 ya kitanzania.

Wasanii wanaounda lebo hiyo ni Rich Movoko, Raymond pamoja na Harmonize ambao ndiyo wanatarajia kufanya show nchini Burundi ili kuwapa burudani wakazi wa huko pamoja na kutangaza kazi zao mpya.

Wasanii hao pia wiki chache zilizopita walifanya show ya kufa mtu katika viunga vya jiji la Nairobi nchini Kenya ambapo walifanikiwa kuzoa mashabiki wengi katika show pamoja na kupata mapokezi ya hali juu nchini humo.

1 COMMENT

  1. Namkubali sana Diamond Dangote
    kwanza Nimpambanaji kwa kuwangaliya Nyakati za Muziki NA huwezi kumpambanisha NA Arikiba hata kidogo Dangote Katambulisha Muziki wa kutumiya Nembo ya WSF nchi za njee NA ndani in super Star mkubwa Also he is done well .my bro l have are Preciate for that solt bro Fanya UKweli daima tuko pamoja bro akuna mwingine kama wewe Fanya kitu cha kutikisa Ulimwengu bro Wasabi wengine kama Alikiba no wa longtime hakuweza kuwateka mashabiki hats kidogo Diamond Fanya muziki kama kazi NA mdogo mdogo bro lmesimama sana

LEAVE A REPLY