Wauza Unga Bongo Fleva na Bongo Movie ‘hadharani’

0
3450

Hii leo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda ameweka hadharani majina ya mastaa ambao wanatuhumiwa kuhusika kwenye biashara ya dawa za kulevya.

Uhusika huu ni wa aina mbalimbali ikiwemo, uuzaji, usambazaji, uvutaji nakadhalika.

Miongoni mwa mastaa waliotajwa humo ni vichwa vya Bongo Fleva na mastaa wa Bongo Movie.

Tazama video hiyo na majina ya mastaa hao.

makonda-madawa

LEAVE A REPLY