Watu zaidi ya 1700 wamehama makazi yao kutokana na Volkano huko Hawaii

0
63

Watu zaidi ya 1700 wameondolewa katika nyumba zao katika eneo Kilauea nchini Hawaii kutokana na tope la volkano.

Wakazi wa eneo ambalo limekumbwa na volkano wameondolewa wakihofiwa kudhurika kutokana na moshi wa tope la volkano na kupelekwa katika eneo salama.

Tope hilo la volkano linatoa moshi ambao wanasayansi wamesema kuwa ni hatari kwa maisha ya binadamu.
 

 

Nchi hiyo imekumbwa na volakano mpaka kusababisha watu kupoteza makazi yao nchini humo na wengine kuhamisha.

 

Baadhi ya wameshaanza kuhama maeneo yao kutokana na Volkano hiyo kuwa kubwa mpaka kupelekea baadhi ya watu kupoteza maisha.

LEAVE A REPLY