Wastara Juma kuachia filamu mpya ‘Hapendeki’ Februari 13

0
368

Muingiza nyota wa Bongo movie, Wastara Juma anatarajia kuachia filamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Hapendeki’ itakayotoka Februari 13 mwaka huu baada ya kukamilika.

Ujio wa filamu hiyo unavunja ukimya wa muigizaji huyo baada ya kukaa kimya kwa kipindi kirefu bila kuachia filamu mpya ivyo mashabiki wake wakae tayari kuipokea filamu ya mkali huyo ambayo itatoka mwezi ujao.

hapendeki13

Muigizaji huyo amejizolea sifa kwenye tasnia ya uigizaji kutokana na kipaji chake kuwagusa mashabiki zake kwenye tasnia ya filamu nchini.

Wastara amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula na kumuunga mkono kwa kuinunua filamu hiyo itakayoingia sokoni mwenzi ujao.

LEAVE A REPLY