Washiriki wa Swahili Fashion Week

0
46

Baadhi ya washiriki wa Swahili Fashion Week walipata nafasi ya kuonesha ubunifu wao kwenye maonesho yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Maonesho ya Swahili Fashion Week yameanzishwa kwa lengo la kukuza sekta ya urembo nchini Tanzania pamoja na Afrika Mashariki.

dsc_0457

Maonesho haya yalianzishwa rasmi mwaka 2008 na mbunifu wa mavazi nchini, Mustafa Asanali kwa lengo la kuinua sekta ya urembo nchini.

Maonesho hayo yalianza Novemba 30 hadi Disemba 2 mwaka huu katika viwanja vya makumbusho ya taifa jijini Dar es Salaam ambapo wabunifu mbali mbali wa mavazi walihudhuria maonesho hayo.

LEAVE A REPLY