Video: Wanariadha wa Kenya waweka rekodi Mbio za Dunia za Nyika nchini Uganda

0
224

Wanariadha wa kike wa Kenya wameweka historia mpya kwenye mashindano ya dunia ya mbio za nyika yaliyofanyika nchini Uganda.

Wanariadha hao wamefanikiwa kushika nafasi 6 za juu na hivyo kutwaa medali zote tatu na kufanikiwa kuandika historia ya kuwa nchi ya kwanza kupata ushindi wa aina hiyo.

Tazama namna wakimbiaji wa nchi hiyo walivyoweka rekodi hiyo.

LEAVE A REPLY