Video: Sherehe za kuapishwa Trump zaanza rasmi Marekani

0
429

Hatimaye rais mteule wa Marekani ameanza rasmi taratibu za kuapishwa kwake kuwa rais wa nchi hiyo.

Trump tayari ameanza safari kutoka kwenye makazi yake yaliyopo kwenye jiji la Washington.

Na haya ndio maneno anayotakiwa kuyatamka Trump ili kuthibitishwa kuwa rais mpya wa Marekani:

‘I do solemnly swear (or affirm) that I will faithfully execute the Office of President of the United States, and will to the best of my ability, preserve, protect and defend the Constitution of the United States’

Tazama siku rais mstaafu Barack Obama alivyokuwa anakula kiapo.

Shirika la BBC linaonyesha MOJA KWA MOJA sherehe za kuapishwa huko kwa rais Trump.

http://bbc.co.uk/inauguration

img_5717-jpg

img_5716-jpg

LEAVE A REPLY