Video: Pacha wa Harmonize aachia USIGAWE PASI. Tumepata HARMO-SQUARE?

0
1227

Underground aliyetajwa na kuvumishwa kuwa na undugu na staa wa WCB, Harmonize naye ameachia ngoma yake.

Chipukizi huyo anayejiita HARMORAPA huku akitokea mkoani Mtwara sambamba na Harmonize pia kwa namna fulani anafanana kwa sura na Harmonize.

Itazame kazi yake ya kwanza.

LEAVE A REPLY