Video: Linah alivyoperfome kwenye show ya Papii Kocha

0
181

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Linah alikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye show ya Papii Kocha.

Linah alipanda jukwaani na kutuimbuiza pamoja na Papii Kocha baada ya kupandishwa jukwanii na Petit Man.

Show hiyo ilifanyika katika ukumbi wa King Solomon jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu maarufu pamoja na wadau wa muziki.

Show hiyo ni ya kwanza kwa Papii Kocha na Baba yake Nguza Viking baada ya kutoka jela.

LEAVE A REPLY