Video: Huu ndio mwisho wa ‘Nikki Mbishi’?

0
1172

Staa wa HIP HOP, Nikki Mbishi ameshare taarifa ya kuitwa na Baraza la Sanaa nchini (BASATA) kwa lengo la kujua mustakabali wa ngoma yake ‘I AM SORRY JK’.

Ngoma hiyo aliyoiachia siku za karibuni inaelezea mazuri ya rais mstaafu Jakaya Kikwete na kueleza changamoto zinazowakabili wasanii katika kipindi cha sasa.

Je, BASATA watampa wakati mgumu Nikki Mbishi? Je, nyimbo za aina hii zitapigwa marufuku nchini?

Tazama ngoma hiyo.

LEAVE A REPLY