Vera Sidika aonyeshwa mahaba mazito na mpenzi wake

0
528

Mwanamitindo maarufu nchini Kenya, Vera Sidika ‘Vee Beiby’ amemwagiwa mahaba hadharani na mpenzi wake ambaye ni mwanamuziki, Otile Brown.

Kwa muda mrefu mapenzi ya wawili hao yamekuwa ya siri lakini juzikati Otile aliingia kwenye ukurasa wake wa Instagram na kumwagia Vera mahaba hadharani.

“Nakupenda sana wewe mwanamke (Vera)… wewe ni kila kitu kwangu… na kinachonivutia zaidi kwako ni jinsi ulivyoumbika.

Pia amesema kuwa niamini, nimewaona wanawake wengi lakini upo tofauti nao sana, wewe mvumilivu, una busara na mtu spesho.

LEAVE A REPLY