Vanessa Mdee atajwa kuwania tuzo nchini Ghana

0
104

Mwanaamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ametajwa kuwania tuzo za The African Prestigious Awards (APA) zitakafanyika nchini Ghana mwaka huu.

Vanessa Mdee ametajwa kuwania tuzo hizo katika kipengele cha msanii bora wa kike wa mwaka 2017/18 ambapo atachuana na wasanii wengine kama Yemi Alade kutoka Nigeria na wengine wengi.

BEST FEMALE ARTIST AFRICA
-ANGHAM (EGYPT)
-ASMAE SALIM (LIBYA)
-BECCA (GHANA)
-CINDY LE COEUR (CONGO)
-GLORIA MULIRO (KENYA)
-HOPE MASIKE (ZIMBABWE)
-LATIFAH (TUNISIA)
-LIRA (SOUTH AFRICA)
-LYRA-AOKO (KENYA)
-NABYLA-MAAN (MOROCCO)
-NANCY AGA (SUDAN)
-SOUHILA BEN LACHHAB (ALGERIA)
-VANESSA MDEE (TANZANIA)
-YEMI ALADE (NIGERIA)
-ZERITU KEBDE (ETHIOPIA)

Watu wengine waliotangazwa kuwania tuzo hizo ni Muigizaji wa filamu, Ray Kigosi, Monalisa na King Majuto ambao wametajwa kwenye vipengele vya Muigizaji bora wa kiume, Muigizaji bora wa kike na mchekeshaji bora wa mwaka 2017 barani Afrika.

LEAVE A REPLY