Vanessa Mdee afunguka ujio wa albam mpya

0
101

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amefunguka ujio wa album mpya ambayo itakuwa ya pili baada ya Album ya ‘Money Mondays’ kufanya vizuri mwaka jana.

Kupitia akaunti yake ya Instagram mwanamuziki huyo ameandika Vanessa ameziweka good news hizo akiwa bado yupo nchini Marekani.

Vanessa Mdee ameweka wazi na kuandika kuwa mpaka sasa album hiyo imekamilika kwa asilimia 70 na amefanikiwa kuingia studio na vocal producer maarufu duniani Nick Cooper ambaye anafanya vocals za mastaa wakubwa nchini Marekani  kama Beyonce, Nicki Minaj na JLo.

“Leo nimebahatika kuingia studio na vocal producer maarufu duniani Nick Cooper ambaye anafanya vocals za kina Beyonce, Nicki Minaj, JLO … lets just say ALBUM NUMBER 2 is going to be LIT.

LEAVE A REPLY