Vanessa akanusha kuongeza matiti

0
197
Vanessa Mdee

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vannesa Mdee amefunguka na kukanusha taarifa kuwa amefanya surgery na kuongeza sehemu ya mwili wake hasa upande wa matiti.

Kauli ya mwanamuziki huyo imekuaja baada ya kuenea taarifa kuwa mwanamuziki huyo ameongeza matiti kwa kufanya upasuaji jambo ambalo mwanamuziki huyo amelipiinga vikali.

Vanessa aliulizwa swala la kizushi kuhusu miwli wake kuwa sehemu kubwa ya maziwa yake kwa sasa iameongezeka na sio kama ilivykuwa hapo awali, mwanadada huyo alisema kuwa habari hizo sio za kweli na kwamba hajafanya kitu kama icho.

Pia Vanesa amesema kuwa katika maisha yake hajawahi kufanya upasuaji kwa ajili ya kuongeza kitru chochote katika mwili huo na hata swala la maziwa watu wamekuwa wakimwangalia kwa wasiwasi lakini hajafanya chochote.

Mwanamuziki huyo kwasasa anatamba na wimbo wake unaokwenda kwa jina la ‘That for me’ ambao unafanya vizuri hapa nchini.

LEAVE A REPLY