Uwoya anavyomkumbuka Dogo Janja

0
90

Muigizaji wa Bongo Fleva, Irene Uwoya amesema kuwa pamoja na yote yaliyowahi kutokea katika mahusiano yake na mume wake na kufikia hatua ya kuachana kabisa lakini bado amekuwa akimpenda na kumkumbuka sana mpenzi wake.

Wawili hao waliofunga ndoa mwishoni mwa mwaka  jana , walifikia tamati ya mahusiano yao baada ya wawili hao kushindwana ndani ya nyumba kwa sababu za usaliti  huku Dogo Janja akionekana ndio mkosaji mkuu na kufanya kila mtu kuanza maisha yake.

Hata hivyo baada ya kuachana kwao, Irene amekuwa msemaji sana katika mitandao na vyombo vya habari kila anapohijiwa kuhusu swala hilo huku akikana kuwa hakuwahi kubadili dini ili kuolewa na mwanaume huyio na kusema kuwa hakuwahi pia kupewa talaka.

Irene Uwoya amesema kuwa kuhusu utajiri wake, watu wengi wamekuwa na tabia ya kufuatilia mtu anafanya nini au uanapata wapi ela  bila kujua kuwa kuna wakati unaamua kufanya mambo kimya kimya na baadae yananyooka wanaanza kushangaa.

LEAVE A REPLY