Uwoya afunguka ukaribu wake na JB

0
66

Muigizaji wa Bongo Movie, Irene Uwoya ameibuka na kuweka wazi mapenzi yake mazito juu ya msanii mwenzake Jacob Stephen maarufu kama JB.

JB na Irene Uwoya waliwahi kukonga nyoyo za mashabiki kwenye tasnia ya Bongo movie kutokana na movie zao walizoigiza kufanya vizuri na kupendwa sana watu.

Kupitia ukuraaa Wake wa Instagram, Uwoya alimtumia salamu za Birthday JB lakini katika ujumbe Wake alifunguka na kuweka wazi kuwa anampenda sana:

JB na Irene Uwoya wameshawahi kuigiza pamoja kwenye filamu zilizowahi kufanya vizuri Kama vile Oprah na nyingine nyingi ambazo zimempa umaarufu.

LEAVE A REPLY