Uwoya afunguka kuhusu maisha yake

0
67

Muigizaji wa Bongo Movie, Irene Uwoya amefunguka na kuweka wazi kuwa uongozi wake mpya ndio unahakikisha anaishi maisha mazuri.

Uwoya amekuwa akila bata kwenye viwanja vya gharama kubwa ikiwemo mahoteli makubwa huko Dubai, Zanzibar na mikoani hivyo kuibua maswali kwa mashabiki wake kuwa ni mapato ya filamu au kuna masuala mengine.

Uwoya amekuwa akibadili magari makali huku akiendelea na ujenzi wa klabu yake ya gharama kubwa ya Last Minute iliyopo Sinza- Mori jijini Dar.

Lakini pia Uwoya alitoa siri ya kuwa na Management kwa sasa ambayo inahakikisha anajijengea image ambayo anayo kwa sasa kama Msanii:

Kutokana na maisha anayoishi hivi sasa Uwoya kuna tetesi zilikuwa zinadai kuna Kigogo mmoja mwenye pesa ndefu ndio anasimamia lifestyle ya Uwoya kutokana na ukweli Mumewe Dogo Janja hawezi kumfanyia mambo makubwa kama hayo.

LEAVE A REPLY