Ushauri wa Sara wa Harmonize

0
53

Aliyewahi kuwa mke wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize, Sara ameamua kuwa mshauri wa maisha kwa kutoa ushauri mara kadhaa kupitia caption zake kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Baada ya kutoa ushauri mara ya kwanza kuwa ukiona kwenye mahusiano uliyopo hakuna furaha,hamsikilizani na kuna vitu visivyoleta amani katika mahusiano yenu basi ondoka.

Ushauri mpya wa Sara ni kuwa “Umekukatisha tamaa, lakini sio jambo geni …… Inuka, uangaze, na ushikilie kichwa chako juu fanya mambo yako.

Japo Mrembo huyo anaonekana kuwapa ushauri watu ila maoni ya watu wengi kwenye post yake hiyo wanahisi hali yake kwa sasa haipo sawa mara baada ya kuachana na aliyekuwa mume wake.

LEAVE A REPLY