Upelelezi wa kesi ya Wema Sepetu wakamilika

0
120

Kesi inayomkabili muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu imekamilika katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu hivyo kuanza kusikilizwa.

Wema Sepetu anatuhumiwa kusambaza picha za ngono kupitia mtandao wake wa kijamiii ambapo kupitia hatua hiyo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Februari 21, 2019 kumsomea maelezo ya awali.

Kesi hiyo ambayo imekuwa ikitajwa mahakamni kila siku na kusemwa kuwa uchunguzi haujakamilika , wapelelezi waliamuliwa kutakwa kufanya uchunguzi kwa haraka  kwa sababu kesi hiyo imekuwa ikitajwa bila kufanyiwa kazi kabisa.

Baaada ya kesi hiyo kusomwa tena siku ya february 13, Kesi hiyo ya Wema Sepetu itatakiwa kusomwa tena February 21 , hivyo kumalizika kwa haraka kamaitaanza kusoma.

Wema anatetewa na wakili, Ruben Simwanza, alifikishwa na katika kesi ya msingi anashtakiwa Oktoba 15, 2018 jijini Dar es Salaam alichapisha video ya ngono.

LEAVE A REPLY