Ujumbe wa Shetta kwa mwanawe Qaillah

0
249

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Shetta amemuandika ujumbe mzito mtoto wake Qayllah kuhusu suala ya wanaume atakapokuwa mkubwa.

Kupitia akaunti yake ya Instagram amemtaka mwanawe Qayllah atapokuwa mkubwa asikubali kudanganywa na wanaume kwani ni waongo.

Ameanza kwa kuandika “Mwanangu Najua kuna watu wanakusubiri subiri ukue kue walete mambo yao ya Kukunyapia nyapia Sasa ninachokuhusia mwanangu Baba Yako nina kila kitu asijudanganye Mtu ukaingia laini ukakazika kijinga jinga Kaza mwanangu…. !!

Sheta amesema kuwa moja ya vitu alivyokuwa akitamani katika maisha yake ni kujaliwa mtoto akiwa katika umri mdogo.

LEAVE A REPLY