Ujumbe wa Ray C kwa mashabiki zake

0
221

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameamua kutoa ushauri kwa jamii kuhusu marafiki ambao wamejaa usaliti na kuwataka wakae mbali nao. 

 

Ray C ametoa ushauri huo kupitia akaunti yake Instagram kwa kuandika maneno hayo yenye ujumbe mzito kwa mashabiki zake.

 

Mwanamuziki huyo ameamua kuandika maneno hayo kutokana na mambo yanayoendelea katika maisha ya kila siku ambapo rafiki anamsaliti rafiki yake.

 

Kwenye ujumbe huo Ray C amemfananisha rafiki ambaye anageuka kuwa adui ni kama nyoka kutokana na usaliti wake.

RAY

LEAVE A REPLY