Ujenzi wa daraja la mto Kilombero wakamilika kwa asilimia 100

0
809

Ujenzi wa daraja la mto Kilombero umekamilika kwa asilimia 100% na liko tayari kuzinduliwa baada ya kukamilika kwake.

Daraja hilo linalounganisha wilaya mbili mkoani Morogoro (Ulanga na Kilombero) pamoja na mkoa wa Ruvuma litaokoa maisha ya wananchi za wilaya hizo ambao katika kipindi chote walikuwa wakipata shida.

Kivuko hiko kilivykuwa hapo awali kabla ya ujenzi wa darajai hilo.
Kivuko hiko kilivykuwa hapo awali kabla ya ujenzi wa darajai hilo.

Baada ya kukamilika kwa daraja hilo wakazi wa maeneo hayo watapata urahisi wa kusafirisha mazao yao kama vile mahindi, ufuta na mpunga.

Pia Daraja hilo litarahisisha usafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Songea mkoani Songea ambapo umbali wake utakuwa mfupi kutokana na Daraja hilo.

LEAVE A REPLY