Uchebe aumbuliwa na Agness

0
37

Aliyekuwa mpenzi wa Uchebe aitwae Agness amefunguka na kusema kuwa hakuwahi kuwa kwenye mahusiano na Uchebe hata siku moja.

Agness amesema kuwa alitumika kujifanya wapo kwenye mahusiano ili kumuumiza aliyekuwa mke wake Shilole baada ya kuachana kwao.

Agness amesema kilichoendelea kati yao ni urafiki tu japo nje walijulikana kama wapenzi, ila ukweli ni kwamba wanaheshimiana kama kaka na dada na hawakuwahi kushea kitanda kimoja.

Amesema kuwa “Mimi na Uchebe hatujawahi kuwa na mahusiano alikuwa ni rafiki yangu wa kawaida ila kulikuwa na drama zinaendelea, Uchebe alikuwa na stress baada ya kuchana na mkewe hivyo akanipanga kunitumia ili kumuumiza Shilole”.

LEAVE A REPLY