Tyga aweka wazi nyimbo zitakazopatikana kwenye albamu yake mpya ‘Kyoto’

0
267

Mwanamuziki wa nyota wa Marekani, Tyga ameamua kuweka wazi nyimbo ambazo zitakazo kuwepo katika albamu yake iitwayo Kyoto ambayo ataiachia siku ya ijumaa februari 16 mwaka huu.

Ingawa tumesikia nyimbo kadhaa kutoka kwenye albamu hiyo, majadiliano mengi yamekuwa juu ya coverphoto ya albamu hiyo kama ambavyo umeiona picha hiyo hapo juu.

Rapa huyo sasa ameamua kutaja orodha ya nyimbo zitakazo kuwepo kwenye Albamu hiyo na itakuwa na nyimbo 14.

Tyga amewashirikisha wasanii malimbali kama Gucci Mane, Tory Lanez na 24hrs. Angalia kikamilifu hapa chini.

LEAVE A REPLY