Tunda akiri kutomuheshimu tena Aunt Ezekil

0
235

Video vixen Bongo, Tunda amefunga na kusema kuwa kamwe hatokuja kumuheshimu muigizaji wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel kama ilivyokuwa hapo awali.

Kauli ya mwadada huyo imekuja kufuatia kugombana na muigizaji huyo mwisho wa wiki iliyopita kisa deni la pombe aina ya Belare aliyokopa Tunda kwa Aunty.

Tunda amesema kuwa  kamwe hawezi kuirudisha heshima yake aliyokuwa akiitoa kwa Aunty kama ilivyokuwa huko nyuma.

Pia amesema kuwa ailikuwa anajua Aunty kuwa mtu mwenye busara lakini hakuna kitu hivyo hawezi kumuheshimu tena hata kidogo maana zamani alikuwa anamchukulia kama dada lyake lakini sasa hivi hawezi kumuheshimu tena.

LEAVE A REPLY