Tommy Flavour afunguka sababu ya kutulia na Lyyn

0
48

Mwanamuziki wa Bongo Fleva kutokea lebo ya Kings Music Records, Tommy Flavour amefunguka kuwa kilichosababisha kumtuliza Official Lyyn kwenye mahusiano yao ni misingi ya ukweli na utofauti.

Tommy Flavour amesema kuwa penzi lao lilianzia studio baada ya kukutana kisha wakawa marafiki waliopitiliza na baadae kuanzisha mahusiano.

Kitu ambacho nimefanya hadi kuweza kutulia na Official Lyyn ni misingi ya kuwa mkweli katika mahusino hakuna vinginevyo.

Pia amesema kuwa, kingine labda kuna vitu tofauti ameviona kutoka kwangu ndiyo maana nimetulia naye, nakumbuka tulikutana studio na tukaanza urafiki ila urafiki wetu ukazidi, mahusiano yetu yana muda wa miezi 7 tangu tuwe pamoja.

LEAVE A REPLY