TID kuzindua Documentary ya maisha yake

0
18
TID

Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu kama TID amethibitisha kuachia Documentary yake maalumu kwa ajili ya kuelezea maisha yake.

TID ameeleza kuwa Documentary hiyo itaambatana na tour yake ya muziki ambapo atasindikizwa na wasanii kadhaa wa Bongo Fleva wakiwemo Lulu Diva, Linah Sanga.

Mwingine atakayekuwepo kwenye tour hiyo ya kimuziki ni member wa kundi la Weusi, G Nako pamoja na Band yake ya Top Band na yeye mwenyewe.

Pia TID ameelza alivyodhulumiwa fedha zake kipindi ali batle na Inspecta Haroon haliyakuwa yeye alikuwa bado hajaachi nyimbo zamani hizo.

LEAVE A REPLY