TID azichana media zinazobania wasanii

0
401

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, TID amefunguka na kusema kuwa kitendo cha wasanii wa zamani kuitwa Legend kinasababisha kushushwa kwenye muziki.

TID amesema  kuwa kitu hicho ndicho kilitokea kwenye muziki wake na kwa sasa kimemtokea Diamond Platnumz.

Amesema kuwa “Na kweli anaweza because he has a media, yaani yeye ndio kama Mungu anajiona but mimi hapana. Nilifanya kosa hilo lakini kosa hilo ndilo limewasanua wasanii wengine, unaona msanii kama Diamond naye amekataa,”.

TID ameongeza kuwa hajaona kitu kama hicho nchini Kenya kwani bado anamuona Jaguar ni msanii mkubwa, Nonini ni msanii mkubwa anapewa heshima yake hakuna underground yeyote amewekwa pale kumshusha Nonini.

LEAVE A REPLY