Thea alia na wasanii kudharauliwa na jamii

0
433

Staa wa Bongo Movie,Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ ameitaka jamii kutowadharau waigiza nchini kwa matendo yao inachotakiwa izingatie kazi wanazozitoa wasanii hao.kama zinafaa katika jamii.

Staa huyo amesema kwa kipindi kirefu sasa jamii imekuwa ikiwaona wasanii kama hawafai kutokana na matendo yao ila inachotakiwa ni kujali kazi zao na si kuangalia mambo mengine.

Thea amesema wamepachikwa majina mbalimbali katika jamii kama wao hawana lolote kwenye uigizaji kwa hiyo inatakiwa wakosoe kazi na siyo kumsema msanii.

LEAVE A REPLY