Tetesi za usajili Ulaya, Manchester City wajitosa usajili wa David Luiz

0
132

Manchester City wako tayari kujiunga na Arsenal katika mpango wa kumsaini mlinzi wa Chelsea David Luiz.

Mchezaji wa safu ya kati wa Real Madrid Marco Asensio, 21, amekiambia klabu hiyo kuwa ataondoka ikiwa Hazard atajiunga nacho (Diario Gol,kupitia Daily Star)

Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Antoine Griezmann

Mshambuliaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann, 26, anatarajiwa kujiunga na Barcelona ya Uhispania

Manchester United inataka zaidi ya pauni milioni 35 kwa mchezaji huyo wa safu ya kati wa miaka 28 Henrikh Mkhitaryan.

Mchezaji aliyekuwa akiwindwa na Machester United Sergej Milinkovic, 22, anasema yuko na furaha huko Lazio na kuzima jitihada za Mourinho za pauni milioni 95 kumsaini mchezaji huyo wa safu ya kati.

Meneja wa Chelsea Antonio Conte amesema kuwa hatawaruhusu Manchester City kumsaini mlinzi Virgil van Dijk, 26, kutoka Southampton.

Meneja wa Southampton Mauricio Pellegrino ataiambia bodi ya klabu yake kuwa watakataa ofa yoyote ya kununuliwa Van Dijk mwezi Jauaria.

LEAVE A REPLY