Tazama mastaa waliojitokeza kwenye show ya Papii Kocha

0
96

Siku ya jumamosi, wanamuziki wa dansi nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na Papii Kocha walifanya show yao ya kwanza baada ya kutoka jela.

Kwenye show hiyo wasanii mbalimbali wamejitokeza kuwapa sapoti wanamuziki hao ambao walionesha kuguswa na watu hao.

Baadhi ya wasanii waliohudhuria kwenye show hiyo ni waigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu, Jacqueline Wolper, Aunt Ezekiel na Faiza Ally.

Wengine waliojitokeza ni wanamuziki kama vile Bushoke, Shetta, Q Chilla, Jose Mara pamona na Barnaba.

Show hiyo ilifanyika katika ukumbi wa King Solomon maeneo ya Namanga jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY