Tanasha amshukuru Diamond Platnumz

0
18

Mwanamuziki wa Kenya, Tanasha Donna ambaye ni mama mtoto wa Diamond Platnumz amemshukuru baba mtoto wake huyo kwa kuamua kumtambulisha kwenye tasnia ya muziki.

Tanasha ametumia ukurasa huo akimshukuru kwa kumshirikisha kwenye ngoma yake ya Gere na kuufanya mmoja ya wimbo uliosikilizwa zaidi barani Afrika kwa mwaka 2020.

Tanasha alipost na kuambatanisha na hii takwimu lakini akiandika maneno haya:

“Huge thanks! Gere by myself & Baba Naseeb.junior  made it to Most viewed African songs on Youtube 2020. Grateful to Diamondplatnumz for believing in me & collaborating with me on such a big tune & to the supporters who’ve supported me & continue to believe in me so far. Cheers to a greater 2021 Inshallah. The dream continues.

LEAVE A REPLY