Style ya nywele yamponza Vanessa Mdee

0
245

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amejikuta katika wakati mgumu mtandaoni baada ya kubadili muonekano wa nywele zake.

Mashabiki wake wameweka komenti ambazo zilikuwa zinaonesha kumchukiza Vanessa baada ya kumwambia kuwa muonekano wake wa nywele baada ya kuweka rangi ya orange ni mbaya sana na hakupendaza.

comments-950x534

Vanessa ameonekana kuchukizwa na komenti hizo ambapo amewajibu mashabiki hao kwa kuwaambia hawawezi kumchaguliwa style ya nywele.

LEAVE A REPLY