Stamina kuja na Albam mpya

0
91

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Stamina ametangaza kwamba Album yake tayari imekamilika na muda wowote ataiachia albam yake hiyo mpya.

Kupiatia post yake ya Instagram Stamina ameandika kuwa “Kuna haja ya kuongea sana napokutana na wamemchokoza bear @bearbeatz_tz sisi tumemaliza kazi yetu bado kazi yenu ya masikio sasa, Album is done”

Mpaka sasa wasanii kama Dogo Janja, Weusi, Producer Abbah na Marco Chali wameshaachia Album zao sokoni.

Wasanii wengine waliotangaza kuja Album mwaka huu ni Alikiba, Diamond Platnumz, Harmonize, Country Boy, Stamina, Ibraah, Killy Moni Centrozone.

LEAVE A REPLY