Stamina kuandika makala kuhusu kuvunjika ndoa yake

0
217

Mwanamuziki wa hip hop nchini, Boniveture Kabogo, Stamina ameamua kuandika Makala inayoelezea kisa na mkasa wa ndoa yake.

Msanii huyo baada ya kuachana na mke wake akaamua kuachia wimbo unaojulikana kwa jina la Asiwaze ukiwa unaanika kile kilichotokea kwenye ndoa yake.

Stamina amedai mbali na kuachia wimbo huo, lakini ameona bora aandike Makala na kuweka wazi kile anachokijua yeye kwenye maisha ya ndoa.

“Wewe unaweza kua una uelewa mkubwa kuliko hata mimi kwenye maswala ya ndoa ila mimi nimeona niandike kivuli cha ndoa hasa kwa kile ninacho kifahamu ili kubadilishana mawazo” Alisema Stamina

Pia alisema kuwa kufundishana na kuburudishana kama ilivyo lengo la fasihi simulizi na fasihi andishi ukisoma nina imani utachanganya na mawazo yako,” alisema Stamina”.

LEAVE A REPLY