Snura afunguka mahusiano yake

0
101

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi amefunguka na kuongelea mahusiano yake na mpenzi wake ambaye pia ni msanii mwenzake maarufu kama Minu Calypto.

Kwa Miezi kadhaa sasa kumekuwa na taarifa kwamba Snura ni mjamzito na Baba wa mtoto huyo sio mwingine bali ni kibenten cha Snura.

Snura amefungukia mahusiano yake na kijana huyo na kuweka wazi kuwa wana mahusiano na kuhusu ujauzito amewataka watu wasubiri wajionee:

Snura ambaye tayari ni mama wa watoto wawili alitengeneza sana headlines baada ya kujulikana kuwa ana uhusiano na Minu ambaye ni kijana mwenye umri mdogo sana kwake.

LEAVE A REPLY