Shilole kufunga na mpenzi wake mpya

0
31

Msanii wa muziki nchini Zuwena Mohammed maarufu kama Shilole kufunga ndoa na mpenzi wake ‘Rommy3D’, mwezi Machi mwaka huu.

Wakithibitisha hilo ‘Januari 13’, Shilole na Rommy walieleza kuwa kama mambo yataenda kama yalivyopangwa ndoa yao itafungwa Mwezi Machi 2021.

Shilole alieleza kuwa ndoa yao itafungwa nyumbani kwao Igunga, Tabora na baadaye sherehe kubwa kufanyika jijini Dar es Salaam.

Hii ni baada ya shilole kuachana na aliyekuwa mumewe Ashiraf Geuza (Uchebe) mwaka jana baada ya ndoa yao kudumu kwa takribani miaka mitatu.

LEAVE A REPLY