Shilole afunga ndoa na mpenzi wake Uchebe

0
125

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Shilole jana amefunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi nayefahamika kwa jina la Uchebe.

Staa huyo alikuwa akisisitiza kufunga ndoa mwaka huu lakini watu walikuwa wakichukulia poa kwa sababu si mara ya kwanza kutoa kauli kama hiyo lakini jana Desemba 6 akafanya kweli.

shilole

Ndoa hiyo ilifanyika kuwa siri na walioalikwa walikuwa marafiki wa karibu na familia za watu wote wa karibu.

LEAVE A REPLY