Shilole adai apigi shoo bila milioni 5

0
74

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Shilole amefunguka na kusema kuwa katika kazi yake ya muziki hawezi kufanya show chini ya milioni tano kwani anaangalia maslai.

Shiloeh ameyasema hayo siku ya leo alipokuwa katika kipindi cha leo tena akiwa na mume wae wa ajili ya utambulisha wimbo wake mpya.

Shilole anasema kuwa amekuja kutafuta pesa hivyo hawezi kufanya kazi bila kuwa na makubaliano ya pesa hiyo labda iweni tamasha wa ajili ya kuwasaidia na kusapoti wanawae wenzake.

Amesema kuwa “Bila milioni tano mimi sifanyi show. siendi kwenye show kwa sababu ya maisha,mimi ni brand kubwa hivyo tukikubaliana naenda ila  ila siendi kwenye shoo bila milioni tano”.

Mwanamuziki huyo amesema kuwa hawezi kufanya shoo bila ya milioni tano kwani yeye ni brand kubwa katika kiwanda cha Bongo Fleva hivyo kwake ni ngumu kufanya shoo za chini milioni tano.

Pia mwanamuziki huyo amewataka mashabiki zake kuendelea kusapoti kazi zake kwani wao ndiyo wanaofanya aendelee kufanya vizuri.

LEAVE A REPLY