Sergio Roberto asaini mkataba mpya Barcelona

0
104

Kiungo wa Barcelona, Sergi Roberto ameongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2022.

Roberto  mwenye umri wa miaka 26 amecheza michezo 34  msimu huu amehusishwa kutaka kujiunga na kikosi cha Pep Guardiola wa Manchester City.

lll

Kocha wa Barcelona Ernesto Valverde amehakikisha kumuongezea mkataba mchezaji huyo huku hada yake ya uhamisho kwa timu itakayo muhitaji ikiwa ni pauni milioni 440.

LEAVE A REPLY