Sababu ya Rayvanny kufuta picha Instagram

0
215

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny amefunguka sababu ya kufuta posti zote katika ukurasa wake wa Instagram.

Rayvanny amesema kuwa, muda mwingi amekuwa akitumia katika kuweka mambo yake sawa na si kuwa bize na mitandao ya kijamii.

“Kwa sasa siko sana mitandaoni, kuna mipango naweka sawa. Ni maisha tu, kuna muda unatakiwa kutuliza akili.

Pia amesema kuwa “maashabiki zangu wajue niko sawa, nawaandalia vitu vizuri kwa ajili ya muziki wangu, na niko sawa na Wasafi,’.

LEAVE A REPLY